1. Washiriki lazima wawe na umri wa miaka kumi na nane (18) na zaidi kushiriki.
2. Mteja anatakiwa ajiunge kwa kutuma GAME kwenda 15738 au kutembelea https://halofun.co.tz
3. Kujiunga na huduma ya Halofun ni bure kwa siku ya kwanza
4. Mteja atakatwa shillingi 200 tu kwa siku ifuatayo ili kuendelea kupata hudumu ya Halofun
5. Baada ya kujiunga na huduma, mteja atakuwa ametoa idhini na kuanza kupokea ujumbe mfupi wa kushawishi wa huduma.
6. Namba ya mteja lazima iwe imesajiliwa kwa alama za vidole ili kufuzu kushiriki kwenye hii huduma.
7. Halotel inaweza wa kubadilisha vigezo na masharti muda wowote kwa kupeleka mapendekezo yao kwa Telemobitec